; Truth and Life

Latest News

SELECTED APPLICANTS FOR THE 2012/2013 ADMISSIONS


SELECTED APPLICANTS FOR THE 2012/2013 ADMISSIONS


The Tanzania Commission for Universities (TCU) in collaboration with the National Council for Technical Education (NACTE) hereby releases the names of applicants selected for admission into various higher education institutions in Tanzania as well as applicants selected for Mozambique Scholarships for the 2012/2013 academic year. 


TCU also informs applicants who had requested for institutional transfer that their names will be released by Wednesday, 26th September, 2012.

Further, applicants under NTA Level 6 category selected to join University of Dodoma are advised to urgently submit their academic certificates to the respective university. Their certificates to be submitted should include O’Level, A’ Level as well as NTA Level 6 certificates.

To view LIST OF SELECTED applicants, please click here ...

To view selected applicants with Loans, please click here...

To view selected applicants through Mozambique Scholarships, please click here...

To view selected applicants with Loans but subject to verification with HESLB (Previous Lonee),
please click here ... 






Issued by the office of the Executive Secretary

TCU


MAJINA YA WALIOPATA MKOPO TOKA BODI YA MIKOPO KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU TANZANIA:TAFUTA JINA LAKO KWA KUTUMIA ALFABETI YA CHUO ULICHOPANGIWA NA TCU

MAJINA YA WALIOPATA MKOPO TOKA BODI YA MIKOPO KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU TANZANIA:TAFUTA JINA LAKO KWA KUTUMIA ALFABETI YA CHUO ULICHOPANGIWA NA TCU

 1: KWA WANAFUNZI WA UNIVERSITY OF DODOMA
     KU DOWNLOAD  <<< BOFYA HAPA>>>

2: KWA WANAFUNZI  UDOM NA UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
    KU DOWNLOAD  << BOFYA HAPA>>

3:KWA WANAFUNZI WA VYUO VYA UDSM, UOA, UOAB, ZIFA NA  ZU
    KU DOWNLOAD << BOFYA HAPA>>

4:KWA WANAFUNZI WA VYUO VYA TUDARCO, TUICO, TUKCMC, TUMA,
    UCEZ NA  UDOM
    KU DOWNLOAD << BOFYA HAPA>>

5:KWA WANAFUNZI WA VYUO VYA SUA, SUZA, TEKU, TIA NA TUDARCO
   KU DOWNLOAD << BOFYA HAPA>>

6: KWA WANAFUNZI WA VYUO VYA SJUCIT, SJUTDSM, SMMUCU NA SUA
    KU DOWNLOAD <<BOFYA HAPA>>

7:KWA WANAFUNZI WA VYUO VYA RUCO, SAUT, SEKUDO, SJUCAST
    KU DOWNLOAD <<BOFYA HAPA>>

8: KWA WANAFUNZI WA VYUO VYA DUCE, ETU, HKMU, IAA, IFM, IMTU
    KU DOWNLOAD <<BOFYA HAPA>>

9: KWA WANAFUNZI WA VYUO VYA MUCE, MUHAS, MUMBEYA, MWUCE,
    NIT, OUT NA RUCO
    KU DOWNLOAD <<BOFYA HAPA>>


10: KWA WANAFUNZI WA VYUO VYA IMTU, IRDP, ISW, ITA, JOKUCO, JUCO,
       KIU, MIST MMU, MNMA, MU, MUCCOBS NA MUCE
       KU DOWNLOAD << BOFYA HAPA>>

11: KWA WANAFUNZI WA VYUO VYA AKA, AMUCTA, ARU, CBEDSM, CDTI,
      COET, DIT NA DUCE
      KU DOWNLOAD <<BOFYA HAPA>>
Teacher Primary
Stone Town International School Zanzibar

Date Listed: Sep 20, 2012
Email Address: Click to Email
Phone: +255 777 858 607
Area: Zanzibar
Application Deadline: Oct 31, 2012


Position Description:
STIS is looking for professional qualified teacher to teach several subjects in the Primary department. Fluent english and teaching experience is required.

Email: director_stis@hotmail.com



Application Instructions:
Application letter

Curriculum Vitae

Chadema Wamlima Barua JK

WAMTAKA ACHUKUE HATUA DHIDI YA MAUAJI YA RAIA KINYUME CHAKE SERIKALI INAHUSIKA

 CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemwandikia barua Rais Jakaya Kikwete kikimtaka achukue hatua dhidi ya matukio kadhaa ya mauaji ya raia yaliyotokea kwa nyakati tofauti katika mikutano yake ya hadhara kwenye Mikoa ya Singida, Tabora, Arusha, Morogoro, Iringa. Hatua kilichopendeza ni pamoja na kuwawajibisha viongozi wenye dhamana; Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi, Mkuu wa Polisi, IGP Said Mwema; Mkuu wa Operesheni Maalumu Polisi, Paul Chagonja, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Faustine Shilogile na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Michael Kamuhanda. Barua hiyo ya Septemba 10, mwaka huu iliyoandikwa na Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe baada ya kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho, imemtaka Rais Kikwete kuwafukuza kazi watendaji hao katika Serikali yake kwa kuwa wameshindwa kazi. Kimesema kwamba mauaji mengi miongoni mwa hayo, yametokea bila hatua stahiki za kisheria kuchukuliwa na kusema kwamba ukimya huo unaweza kutoa picha potofu kwa umma kwamba Serikali yake inaunga mkono au imewatuma polisi au watu wengine waliosababisha mauaji hayo.

 Matukio ya vifo ambayo chama hicho kimetaka yachunguzwe ni pamoja na lile la Januari Mosi, mwaka jana mkoani Arusha, Igunga (Novemba, mwaka jana) na Arumeru Mashariki (Aprili, mwaka huu). Mengine ni lile la Iramba lililotokea Julai 14, mwaka huu, Morogoro (Agosti 27, mwaka huu) na Iringa Septemba 2, mwaka huu ambalo hata hivyo, shauri lake limeshafikishwa mahakamani. Kimedai kwamba katika Uchaguzi mdogo wa Arumeru Mashariki, Kiongozi wa Kata wa chama hicho, Msafiri Mbwambo alichinjwa huku chanzo cha kifo hicho kikielezwa kuwa ni masuala ya kisiasa.

 Pia kilielezea mauaji yaliyotokea katika Kijiji cha Ndago, Wilaya ya Iramba, Singida na kudai kwamba kikundi cha watu kilivamia mkutano wa Chadema kwa mawe na kwamba licha ya polisi kuwapo eneo hilo, hawakuchukua hatua zozote. Chama hicho pia kimekumbusha mauaji ya mfuasi wake mkoani Morogoro, Ally Zona kikisema kifo hicho pia kina utata kwani taarifa ya polisi imesema alikufa kwa kugongwa na kitu kizito wakati chama hicho kikidhani kwamba alipigwa risasi.
 Kimesema pamoja na matukio yote hayo, viongozi wote hao hawakuchukuliwa hatua zozote za kuwajibika kwa matukio hayo.

 Pia Chadema kimeonya kuwa hali hiyo ikiachwa inaweza kujenga dhana potofu kwa wananchi kuwa Jeshi la Polisi liko mikononi mwa CCM na kazi yake ni kulinda masilahi ya chama hicho kwa gharama yoyote ile jambo ambalo Mbowe alisema ikiwa Rais Kikwete atachukua hatua za kinidhamu dhidi ya viongozi hao, atakuwa ameudhihirishia umma kwamba Serikali yake haifumbii macho mauaji yanayofanywa na vyombo vya usalama nchini. Kimemtaka Rais Kikwete kuunda tume ya kijaji au kimahakama kuchunguza vifo vilivyotokea katika mikusanyiko, mikutano, maandamano au mazingira ya kisiasa yanayokihusisha Chadema.

Ikulu yajibu Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue alipoulizwa juu ya barua hiyo alisema haijafika ofisini kwake, huku akisisitiza kuwa kama imeandikwa kwa Rais si lazima ifike kwake. “Sijaiona, ila kama wamemwandikia Rais barua sidhani kama itakuja kwangu. Itakwenda kwake moja kwa moja,” alisema Balozi Sefue. Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye hakutaka kuzungumzia hatua hiyo ya Chadema akisema, “Siwezi kusema chochote kwa kuwa barua yenyewe sijaiona pia ni barua ya Rais.” Kauli ya Bavicha Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), limemtaka Rais Kikwete kuunda tume huru yenye wataalamu wa sheria ili kuchunguza mauaji, utekaji, vurugu na unyanyasaji wa wananchi unaotokea kwenye mikutano ya siasa hasa inayokihusisha chama hicho.

Akizungumza na waandishi wa habari jana mjini Morogoro baada ya kikao cha baraza hilo taifa, Mwenyekiti wa Bavicha, John Heche alisema kwamba kama Rais Kikwete atashindwa kufanya hivyo, baraza lake kwa kutambua kuwa matukio mengi ya mauaji yamehusisha vijana, litahamasisha maandamano nchi nzima na kuishtaki Serikali yake.

 Habari hii imeandikwa na Fidelis Butahe na George Njogopa, Dar na Hamida Sharif, Morogoro. www.mwananchi.co.tz
Inaccuracies and misplaced towns and cities in Apple's new map software have provoked anger from users.
In June Apple announced it would stop using Google Maps in favour of its own system, created using data from navigation specialist TomTom. 

Apple is yet to comment on the complaints about the software, which comes already installed on the new iPhone. TomTom said it provided only data and was not responsible for how it worked. The software is packaged with iOS6, the latest version of Apple's operating system, which runs on the iPhone, iPad and iPod Touch.

Previously, the system had an app running mapping software from Google. But users are now forced to use Apple's new maps once they upgrade or buy the latest iPhone - which goes on sale on Friday. There is not currently a Google Maps app available in Apple's App Store, although Google's system is still accessible via the phone's web browser.